TACOSODE Executive Director Ms. Koga Mihama alipata fursa ya kuhudhuria wiki ya Azaki inayoandaliwa kila mwaka nchini na taasisi ya Foundation for Civil Society (FCS) jijini Arusha. TACOSODE ilipata nafasi nzuri ya kuhudhuria vipindi mbalimbali katika wiki hii lakini pia kutembelea jamii ya Wamasai wanao nufaika na miradi ya FCS. Katika wiki hii ya Azaki kulikua na tukio la Uzinduzi wa Ilani Ya Uchaguzi ya Asasi za Kiraia Tanzania 2024/29 Uzinduzi huu ulifanyika tarehe 12 Septemba , 2024, Ukumbi wa Mount Meru Hotel, Arusha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *