TACOSODE iliwakilishwa vyema katika kongamano kubwa la wanawake lililo andaliwa na ofisi ya TGNP. Kongamano hili lililohusisha mashirika yasiyo ya kiserikali, ikionyesha kujitolea kwetu katika kuwawezesha watu wenye mahitaji maalumu na kusaidia fursa za kiuchumi kuelekea miaka 30 ya Azimio la Beijing.

